Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kapombe amesema mchezo dhidi Prisons haukuwa rahisi

11 Feb 2025

Kapombe amesema mara zote Prisons wamekuwa wagumu kila tunapokutana lakini leo tumefanikiwa kutokana na kufuata maelekezo ya walimu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe amezungumzia pia tuzo yake ya mchezaji bora wa mechi, pamoja na sapoti iliyotolewa na mashabiki kwa kinda Ladaki Chasambi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story