Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kapombe afunguka kuhusu kikosi kilivyo

23 Jul 2024

Kapombe ameongeza kuwa wachezaji wapya wameonyesha uwezo mkubwa na wanaingia haraka kikosini na anaamini watakuwa msaada mkubwa kwa timu.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe amezungumzia pia kuhusu mkazo wanaopewa na Kocha Mkuu Fadlu Davids na wasaidizi wake.

Advertisement
Back to homepage
Share this story