Kapombe amesema morali za wachezaji zipo juu huku akiweka wazi pia kuwa mechi za Ligi ya Mabingwa zilizobaki tutazitumia kama maandalizi ya michezo ya Ligi Kuu ya NBC.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kapombe amefunguka mengi kuelekea mchezo wa kesho.