Kapombe amesema utakuwa mchezo mgumu kutokana na historia na ubora wa Al Ahly lakini maandalizi tunayoendelea nayo yanazidi kutuimarisha.
Kwa upande wa Abdallah amesema ili kuwa bora lazima ukutane na walio bora kama wewe hivyo tupo tayari kwa mchezo huo.
Advertisement
Tazama mahojiano haya hadi mwisho kuona walichosema nyota hawa muda mfupi baada ya kumalizika kwa mazoezi.