Kante amesema kuelekea mechi zetu zijazo tukianza ya kesho dhidi ya B19 malengo yetu ni kuhakikisha tunashinda ili kufanikiwa kutwaa mataji mawili tunayopigania.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kante amefunguka maumivu aliyopitia baada ya kufungiwa mechi tano.