Kajula amesema tetesi zinazoendelea mitandaoni kuhusu kusimamishwa kwa baadhi ya wachezaji kutokana na utovu wa nidhamu zitatolewa ufafanuzi baadae na kama itakuwa kweli kamati husika itatoa hukumu.
Kuhusu ujio wa kocha mpya atayechukua nafasi iliyoachwa na Roberto Oliveira 'Robertinho' Kajula amesema mchakato umefikia hatua nzuri na muda wowote kutoka sasa tutamtangaza.
Advertisement
Tazama mahojiano mpaka mwisho Kajula amezungumzia pia kuhusu tuzo ya mashabiki tuliyopata jana ya michuano ya African Football League.