Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kaimu Balozi nchini Misri awapa somo wachezaji

5 Apr 2024

Brigedia Jenerali Ismail amesema kila kitu kinawezekana kikubwa ni kuweka jitihada na wachezaji wanatakiwa kujua wana dwni kubwa huku tukiendelea kuwaombea na tunawaamini.

Tazama video hii hadi mwisho Mh. Balozi amezungumzia pia kuhusu sapoti ambayo Serikali imetoa kwa ajili ya kuisaidia timu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story