Kagoma amesema haikuwa rahisi kwetu kucheza mechi ngumu ndani ya siku tatu lakini tumeweza kupata ushindi katika uwanja wa nyumbani.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kagoma amezungumzia pia mchezo wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup utakaopigwa Jumamosi.