Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kagoma ataja siri ya ushindi dhidi ya TRA

23 Mar 2026

Kagoma amekiri kuwa ligi ni ngumu na licha ya ushindi huo lakini TRA walitupa ushindani mkubwa muda wote wa mchezo.

Tazama video hii mpaka mwisho Kagoma ametaja sababu ya kutoshangilia bao lake alilofunga.

Advertisement
Back to homepage
Share this story