Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Kagoma afunguka furaha ushindi dhidi ya Singida

28 Dec 2024

Kagoma amesema kumaliza kileleni mzunguko wa kwanza na tunaelekea mwaka mpya wa 2025 ni jambo kila mchezaji wa Simba alikuwa analifurahia.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kagoma amezungumzia ugumu wa mchezo huo ulivyokuwa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story