Joash amesema mechi ya Wydad ilipaswa kupata ushindi ili tuingie nusu fainali lakini ilishindikana kama ilivyokuwa dhidi ya Azam kwenye (ASFC) kitu ambacho kimetuangusha.
Fuatilia hadi mwisho mahojiano aliyofanya mlinzi huyu kuhusu msimu mzima na mechi mbili zilizosalia dhidi ya Polisi Tanzania na Coastal Union.