Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Jezi za michuano ya Shirikisho Afrika kuzinduliwa Jumatano

18 Nov 2024

Ahmed amesema uzinduzi huo utakuwa Mubashara kwenye mitandao yetu yote ya kijamii pamoja na wadhamini wetu Azam TV na muda huo huo zitaanza kupatikana kwenye maduka ya Sandaland.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu zoezi la hamasa kuelekea mchezo wetu wa kwanza dhidi ya Bravo pamoja na viingilio.

Advertisement
Back to homepage
Share this story