Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Jentrix ajitabiria makubwa msimu ujao

14 Jun 2024

Shikangwa amesema licha ya kuja dirisha dogo na kucheza mechi tisa lakini amefunga mabao 11 na hilo ni jambo kubwa kwake.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Shikangwa amezungumzia pia michuano ijayo ya CECAFA

Advertisement
Back to homepage
Share this story