Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Israel atoa neno baada ya kutinga fainali Mapinduzi

11 Jan 2024

Israel amesema aina ya penati aliyopiga inaitwa Miso Misondo ndio maana alishangilia kwa aina ile.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Israel pia amezungumzia ushindani wake wa ndani ya uwanja na mlinzi Kelvin Kijili wa Singida.

Advertisement
Back to homepage
Share this story