Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Inonga arudi Dar es Salaam baada ya kupata majeraha

7 Mar 2024

Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu Ahmed Ally amesema Inonga amerudi Dar es Salaam kwa ajili ya kufanyiwa kipimo cha MRI ili kujua ukubwa wa tatizo na kuanza matibabu mara moja.

Tazama Mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu timu kufika jijini Tanga na malengo ya klabu kwa msimu huu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story