Simba Sports Club
News

VIDEO: Inonga afunguka mipango ya msimu ujao

25 Jun 2023

Inonga amesema tangu amejiunga nasi hatufanikiwa kupata taji licha ya kucheza vizuri kitu ambacho anaamini msimu ujao tutajipanga zaidi kufanikisha jambo hilo.

Tazama hadi mwisho mahojiano haya kujua mambo yote aliyofunguka kitasa huyu toka DR Congo.

Advertisement
Back to homepage
Share this story