Simba Sports Club
News

VIDEO: Huu ndio ushauri wa Kapombe kwa wachezaji vijana

13 May 2023

Kapombe amesema hata yeye alijifunza kutoka kwa kaka zake wakiwa Haruna Shamte, Victor Costa mpaka kufika sasa hivyo vijana wanapaswa kufuata ushauri huu.

Tazama hadi mwisho sehemu ya pili ya mahojiano aliyofanya na Meneja Habari na Mawasiliano wa klabu, Ahmed Ally huku pia akielezea safari yake ya kucheza Ligi Kuu ya Ufaransa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story