Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Hussein Kazi nae afunguka kuhusu mchezo dhidi ya Singida

11 Jan 2024

Kazi amesema mchezo ulikuwa mzuri na Singida walitupa upinzani mkubwa lakini tumefanikiwa kutinga fainali.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kazi amezungumzia pia kupata mataji akiwa na kikosi chetu akianzia na Ngao ya Jamii.

Advertisement
Back to homepage
Share this story