Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Hussein Abel yupo tayari muda wote

17 May 2024

Abel ameyasema hayo baada ya kuonyesha kiwango safi katika mchezo dhidi ya Dodoma Jiji huku akipokea pongezi nyingi kutoka kwa mashabiki.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Abel amezungumzia pia kinachomfanya kuendelea kuwa na kiwango bora.

Advertisement
Back to homepage
Share this story