Hussein ambaye mchezo wa leo ulikuwa wa kwanza kwake msimu huu amesema tulikuwa bora kwenye maeneo mengi uwanjani na tulikuwa na nafasi ya kupata mabao mengi zaidi.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Hussein amezungumzia pia urafiki wake na Ally Salim.