Abel amesema pamoja na wapinzani wetu kutokuwa timu yenye jina kubwa lakini tunategemea kupata upinzani mkubwa na tupo tayari kuwakabili.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho, Abel amefunguka pia kuhusu benchi jipya la ufundi chini ya Kocha Mkuu Steve Barker.