Gakuba amemwambia Meneja Habari na Mawasiliano, Ahmed Ally Wanasimba wategemee makubwa kutoka kwa Onana na anategemea atakuwa kipenzi cha mashabiki.
Tazama hadi mwisho mahojiano haya ili kufahamu sifa za ziada za nyota huyu.