Gomez amesema kwa jinsi alivyotazama Tamasha la Simba Day na mashabiki waliojitokeza ni wengi ambapo kama wataendelea kufanya hivyo hata kwenye mechi za ligi matumaini ya kufanya vizuri ni makubwa.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Gomez ameweka wazi kuwa msimu huu utakuwa bora kwetu.