Ahmed amesema katika eneo la golikipa tunao Ally Salim na Hussein Abel ambao Wana uzoefu mkubwa na Ligi Kuu hivyo bado tuna nafasi nzuri ya kuhakikisha tunapata matokeo chanya kesho.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amewaita mashabiki kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid kesho.