Simba Sports Club
News

VIDEO: Hatutaki furaha yetu ya fainali kuchafuliwa na Mashujaa

1 May 2025

Ahmed amesema pamoja na ugumu ambao tunategemea kukutana nao kutoka kwa Mashujaa lakini hatupo tayari kuona Mashujaa wakitunyima furaha kwa kushindwa kupata pointi tatu.

Tazama video hii hadi mwisho Ahmed ametoa ratiba kamili ya timu katika mechi nne za ligi zinazofuata.

Advertisement
Back to homepage
Share this story