Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Hatuna presha na mchezo dhidi ya Azam

6 Jan 2026

Ahmed amesema tunaenda kukutana na Azam ikiwa wametoka kutufunga kwenye Ligi lakini hii ni michuano mingine na hatutabadili chochote badala yake tutacheza kwa mipango yetu na kuwaamini vijana.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amechambua viwango vya wachezaji mmoja mmoja mpaka sasa.

Advertisement
Back to homepage
Share this story