Ahmed amesema tumewahi kucheza katika viwanja vigumu Nigeria, Botwana, Morocco na Angola na bado tukapata matokeo chanya hivyo hata kesho tunaweza kushinda katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo.
Tazama mahojiano haya mwisho Ahmed amezungumzia pia kuhusu Mashabiki kujitokeza kwa wingi.