Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Hatukuwa na Msimu Mzuri

29 May 2024

Zimbwe Jr amesema anaamini mapungufu yaliyofanyika viongozi wameyaona na yatafanyiwa kazi kwa ajili ya msimu ujao.

Tazama mahojiano haya mpaka mwisho Zimbwe amezungumzia pia kuhusu ubora aliouonyesha kwa msimu mzima.

Advertisement
Back to homepage
Share this story