Ahmed amesema kiujumla wachezaji wetu hawakucheza katika ubora ambao tumeuzoea lakini kwenye mpira wa miguu hilo ni jambo la kawaida.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amewasihi Wanasimba kuacha kuwapa presha wachezaji badala yake tuwasapoti kwenye mechi zijazo.