Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Hassanol awataka Wanasimba wasitolewe mchezoni na wasiotutakia mema

7 Apr 2025

Hassanol amesema kuna propaganda zinaendelea kwenye mitandao ya kijamii kuelekea mchezo wetu wa Jumatano hivyo tunatakiwa kushikamana na kuhakikisha tunajitokeza kwa wingi uwanjani.

Tazama video hii hadi mwisho Hassanol ameweka wazi kuwa ushirikiano utatuvusha na kwenda nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Advertisement
Back to homepage
Share this story