Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Hamza awatoa hofu mashabiki mbio za ubingwa

24 Feb 2025

Hamza amesema bado ligi inaendelea na wapinzani wanaoongoza nao wanaweza kupoteza au kupata sare nasi tukashinda hivyo hatupaswi kukata tamaa na kwa upande wao wachezaji watapambana hadi mwisho.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Hamza amezungumzia pia jinsi alivyofunga bao lake la kwanza akiwa na kikosi chetu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story