Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Hamza ataja Siri ya ushindi mwembamba dhidi ya Dodoma

30 Sep 2024

Hamza amesema kipindi cha pili walivyoingia vyumbani walielekezana na kucheza kwa malengo na tulivyopata bao ilibidi tutumie muda mwingi kulilinda.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Hamza amezungumzia pia siri ya kiwango chake kuimarika siku hadi siku.

Advertisement
Back to homepage
Share this story