Hamza amesema JKT waliamua kuchagua kuzuia zaidi na sio kushambulia na hilo liliongeza ugumu wa mechi kwakuwa muda wote walikuwa nyuma.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Hamza amezungumzia pia kuhusu uwepo wa wachezaji wazoefu wa JKT.