Ahmed amesema ilifika kipindi Geita ikajiona ipo sawa na Simba na walipo jisahau ndipo walipoanza kuruhusu mabao na kutupa ushindi mnono ambao tulikuwa tunauhitaji.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Ahmed amezungumzia viwango vya Saido Ntibazonkiza na Ladaki Chasambi kwenye mchezo wa leo.