Freddy amesema kila mchezaji anajua anatakiwa kupambana kuhakikisha anatoa mchango wake kwa ajili ya kuisaidia timu kufikia malengo yake msimu ujao.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Freddy amezungumzia pia kuhusu wachezaji wapya waliosajiliwa na ukaribu wake na Debora Fernandes.