Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Fred asimulia historia yake katika jiji la Abidjan

24 Feb 2024

Fred amesema maisha yake ya soka yalianzia katika Uwanja wa Maracana ambao umewatoa wachezaji wengi kutoka Ivory Coast akiwemo nyota wazamani wa Manchester City, Wilfred Bony.

Tazama mahojiano haya mpaka mwisho Fred amezungumzia maisha yake yote ya soka mpaka alipojiunga na kikosi chetu.

Advertisement
Back to homepage
Share this story