Fadlu amesema haikuwa mechi rahisi kwakuwa Namungo walitumia mbinu ya kuzuia muda mwingi lakini wachezaji wetu walifanya jitihada kubwa za kuwafungua na kufanikiwa kupatikana kwa penati tatu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia droo ya hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika ambayo itapangwa kesho nchini Qatar