Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Fadlu awapongeza wachezaji ushindi dhidi ya Coastal

1 Mar 2025

Fadlu amesema ushindi wa leo utaongeza chachu kuelekea mchezo wetu wa 'Dabi ya Karikaoo' wikiendi ijayo na kuwafanya wachezaji kuwa katika hali ya kujiamini.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amezungumzia pia viwango bora vilivyoonyeshwa na nyota wetu Steven Mukwala, Ally Salim na David Kameta 'Duchu'.

Advertisement
Back to homepage
Share this story