Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Fadlu asema tulistahili kushinda dhidi ya Bravos

12 Jan 2025

Fadlu amesema tumepiga mashuti 26 langoni mwa Barvos na tumetengeneza nafasi nyingi ambazo zingeweza kutupa ushindi lakini haikuwa hivyo ingawa tulikuwa bora uwanjani kwenye kila kitu.

Tazama video hii hadi mwisho Kocha Fadlu amewapongeza benchi la ufundi, wachezaji na Idara ya utabibu kwa mafanikio haya.

Advertisement
Back to homepage
Share this story