Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Fadlu afurahishwa na viwango vya wachezaji

3 Apr 2025

Fadlu amesema tumecheza kwa kujiamini na tulikuwa bora kwenye maeneo mengi uwanjani na kama mwamuzi angekuwa makini tungepata mkwaju wa penati kufuatia Leonel Ateba kufanyiwa madhambi ndani ya 18.

Tazama video hii hadi mwisho Fadlu amefunguka kuwa bado tuna nafasi ya kufanya vizuri kwenye mchezo ujao.

Advertisement
Back to homepage
Share this story