Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Fadlu afurahishwa na mshikamano ndani ya Simba

11 Feb 2025

Fadlu amesema baada ya kufanikiwa kurejea kileleni mwa msimamo tunatakiwa kuwa na muendelezo kuhakikisha tunapata alama tatu kwenye kila mchezo ili kutimiza malengo yetu tuliyojiwekea.

Tazama mahojiano haya hadi mwisho Fadlu amewapongeza mashabiki kwa kumuonyesha sapoti kubwa Ladaki Chasambi.

Advertisement
Back to homepage
Share this story