Kocha Fadlu amesema bila kujalisha timu imechezaje kikubwa pointi tatu zimepatikana ambazo kitaongeza hamasa kuelekea mchezo Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Bravo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Kocha Fadlu amewaomba mashabiki kujitokeza kwa wingi katika Uwanja wa Benjamin Mkapa kuipa sapoti timu.