Fadlu amesema wachezaji hawakuongezeka uzito kitu ambacho kinamrahisishia kazi hasa katika kipindi hiki cha wiki mbili za mwanzo za mazoezi ambao ni muhimu kwao kujifunza mifumo ya timu.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Fadlu amezungumzia usajili wa nyota wapya huku akiwapongeza wachezaji walioondoka kwa jinsi walivyokuwa na mchango mkubwa.