Simba Sports Club
News

VIDEO: Duchu asimulia maisha yake ya soka, Kumbe aliwahi kuuza Simu Kariakoo

16 Jul 2023

Duchu amesema kuna kipindi aliwahi kuacha kucheza soka na kwenda jijini Dar es Salaam kuuza simu kabla ya kuibukia Mbeya Kwanza zaidi ya miaka mitatu.

Tazama hadi mwisho video hii kuona mikasa aliyokutana nayo ikiwemo kuonekana kiburi na Maafande wa Tanzania Prisons licha ya kudumu nao kwa miaka nane.

Advertisement
Back to homepage
Share this story