Duchu amesema Kapombe amekuwa akimtia moyo huku akimsisitiza kuhakikisha anajituma ili kufanya vizuri kila anapopata nafasi kama alivyofanya kwenye mchezo wa leo.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Duchu ameahidi kufanya vizuri kila atapofanikiwa kupata nafasi.