Simba Sports Club
News Videos

VIDEO: Duchu afunguka sababu ya kulia baada ya kufunga

9 May 2024

Duchu amesema amelia baada ya kufunga kwa sababu alikuwa anatamani siku moja itokee kama vile na aendelee kupata nafasi ya kuisaidia timu.

Tazama video hii hadi mwisho Duchu amezungumzia pia kuhusu wanavyojisikia wasipokuwa wanapata nafasi ya kucheza.

Advertisement
Back to homepage
Share this story