Dkt. Muba amesema anajua mashabiki wanahitaji kuiona timu ikifuzu na kwenda nusu fainali hivyo na wao wanatakiwa kutimiza wajibu wao wa kujitokeza kwa wingi ili kufanikisha malengo ya klabu.
Tazama video hii hadi mwisho Dkt. Muba amesema kuna timu ilishindwa kupata bao moja ili kusonga mbele lakini Jumatano tutaenda kutoa fundisho jinsi ya kucheza Benjamin Mkapa.