Dkt. Muba amesema kuna ushirikiano mkubwa kati ya Bodi ya Wakurugenzi, Menejimeti, Benchi la Ufundi, Wachezaji mpaka mashabiki ndio maana tumefanikiwa kufikisha malengo.
Tazama mahojiano haya hadi mpaka mwisho Dkt. Muba amezungumzia pia kuhusu kukosekana kwa mashabiki kwenye mchezo wa leo.