Dkt. Kagabo amesema leo Kibu atapatiwa matibabu ya awamu ya pili ambayo ndiyo yatatoa mwanga kama atakuwa tayari kwa ajili ya mchezo ujao dhidi ya Fountain Gate FC.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho Dkt. Kagabo amezungumzia hali za kiafya za wachezaji wengine.