Dk. Edwin amesema Manula ambaye ameanza rasmi mazoezi ya uwanjani leo chini ya uangalizi wa madaktari ataendelea hivyo kwa wiki tatu mpaka nne kabla ya kuwa fiti kabisa na kujiunga na wenzake.
Tazama mahojiano haya hadi mwisho ili kujua muda kamili uliobaki kabla ya Manula kurejea kwenye milingoti mitatu.